Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 9 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿دُحُورٗاۖ وَلَهُمۡ عَذَابٞ وَاصِبٌ ﴾
[الصَّافَات: 9]
﴿دحورا ولهم عذاب واصب﴾ [الصَّافَات: 9]
Abdullah Muhammad Abu Bakr kwa kuwafukuza ili wasipate kusikiliza. Na huko kwenye Nyumba ya Akhera watakuwa na adhabu ya daima yenye kuumiza |