Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 8 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿لَّا يَسَّمَّعُونَ إِلَى ٱلۡمَلَإِ ٱلۡأَعۡلَىٰ وَيُقۡذَفُونَ مِن كُلِّ جَانِبٖ ﴾
[الصَّافَات: 8]
﴿لا يسمعون إلى الملإ الأعلى ويقذفون من كل جانب﴾ [الصَّافَات: 8]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hawawezi hao Mashetani kufika kwenye viumbe vya juu, navyo ni mbingu na Malaika waliyomo ndani yake, wakapata kuwasikiliza wanapoutamka wahyi ambao Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, Anauleta, unaokusanya sheria Yake na makadirio Yake, na wanavurumizwa vimondo katika kila upande |