×

Subiri kwa hayo wayasemayo, na umkumbuke mja wetu Daudi, mwenye nguvu. Hakika 38:17 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah sad ⮕ (38:17) ayat 17 in Swahili

38:17 Surah sad ayat 17 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 17 - صٓ - Page - Juz 23

﴿ٱصۡبِرۡ عَلَىٰ مَا يَقُولُونَ وَٱذۡكُرۡ عَبۡدَنَا دَاوُۥدَ ذَا ٱلۡأَيۡدِۖ إِنَّهُۥٓ أَوَّابٌ ﴾
[صٓ: 17]

Subiri kwa hayo wayasemayo, na umkumbuke mja wetu Daudi, mwenye nguvu. Hakika yeye alikuwa mwingi wa kutubia

❮ Previous Next ❯

ترجمة: اصبر على ما يقولون واذكر عبدنا داود ذا الأيد إنه أواب, باللغة السواحيلية

﴿اصبر على ما يقولون واذكر عبدنا داود ذا الأيد إنه أواب﴾ [صٓ: 17]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Vumilia, ewe Mtume, kwa unayoyachukia katika hayo wanayoyasema, na umtaje mja wetu Dāwūd, mwenye nguvu juu ya maadui wa Mwenyezi Mungu na uvumilivu juu ya kumtii Yeye. Hakika yeye ni mwingi wa kutubia, ni mwingi wa kurejea kufanya yale yanayomridhisha Mwenyezi Mungu. Katika haya pana kumliwaza Mtume, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek