Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 16 - صٓ - Page - Juz 23
﴿وَقَالُواْ رَبَّنَا عَجِّل لَّنَا قِطَّنَا قَبۡلَ يَوۡمِ ٱلۡحِسَابِ ﴾
[صٓ: 16]
﴿وقالوا ربنا عجل لنا قطنا قبل يوم الحساب﴾ [صٓ: 16]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wanasema, «Mola wetu! Tuharakishie sehemu yetu ya adhabu duniani kabla ya Siku ya Kiyama.» Kusema huku kulikuwa ni uchezaji shere kutoka kwao |