Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 18 - صٓ - Page - Juz 23
﴿إِنَّا سَخَّرۡنَا ٱلۡجِبَالَ مَعَهُۥ يُسَبِّحۡنَ بِٱلۡعَشِيِّ وَٱلۡإِشۡرَاقِ ﴾
[صٓ: 18]
﴿إنا سخرنا الجبال معه يسبحن بالعشي والإشراق﴾ [صٓ: 18]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika sisi tuliyadhalilisha majabali pamoja na Dāwūd, yakawa yanamtakasa Mwenyezi Mungu kwa kumsabihi wakati anapomtakasa kwa kumsabihi mwanzo wa mchana na mwisho wake |