Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 25 - صٓ - Page - Juz 23
﴿فَغَفَرۡنَا لَهُۥ ذَٰلِكَۖ وَإِنَّ لَهُۥ عِندَنَا لَزُلۡفَىٰ وَحُسۡنَ مَـَٔابٖ ﴾
[صٓ: 25]
﴿فغفرنا له ذلك وإن له عندنا لزلفى وحسن مآب﴾ [صٓ: 25]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Tukamsamehe hilo na tukamfanya ni miongoni mwa watu waliosogezwa karibu na sisi, na tumemuandalia mwisho mwema huko Akhera |