Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 35 - صٓ - Page - Juz 23
﴿قَالَ رَبِّ ٱغۡفِرۡ لِي وَهَبۡ لِي مُلۡكٗا لَّا يَنۢبَغِي لِأَحَدٖ مِّنۢ بَعۡدِيٓۖ إِنَّكَ أَنتَ ٱلۡوَهَّابُ ﴾
[صٓ: 35]
﴿قال رب اغفر لي وهب لي ملكا لا ينبغي لأحد من بعدي﴾ [صٓ: 35]
Abdullah Muhammad Abu Bakr na akasema, «Mola wangu! Nisamehe dhambi zangu na unipe ufalme mkubwa unaohusika na mimi ambao mfano wake hautakuwa kwa binadamu yoyote baada yangu. Hakika yako wewe, uliotakasika na kutukuka, ni Mwingi wa upaji na utoaji |