Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 39 - صٓ - Page - Juz 23
﴿هَٰذَا عَطَآؤُنَا فَٱمۡنُنۡ أَوۡ أَمۡسِكۡ بِغَيۡرِ حِسَابٖ ﴾
[صٓ: 39]
﴿هذا عطاؤنا فامنن أو أمسك بغير حساب﴾ [صٓ: 39]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ufalme huu mkubwa na udhalilishiaji huu wa kipekee ni upaji wetu kwako, ewe Sulaymān, basi mpe unayemtaka na umnyime unayemtaka, hapana hesabu juu yako |