Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 42 - صٓ - Page - Juz 23
﴿ٱرۡكُضۡ بِرِجۡلِكَۖ هَٰذَا مُغۡتَسَلُۢ بَارِدٞ وَشَرَابٞ ﴾
[صٓ: 42]
﴿اركض برجلك هذا مغتسل بارد وشراب﴾ [صٓ: 42]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Tukamwambia, «Ipige ardhi kwa mguu wako! Yatabubujika kutoka humo maji baridi. Basi kunywa katika maji hayo na uoge, na madhara na maudhiko yatakuondokea.» |