Quran with Swahili translation - Surah Az-Zumar ayat 28 - الزُّمَر - Page - Juz 23
﴿قُرۡءَانًا عَرَبِيًّا غَيۡرَ ذِي عِوَجٖ لَّعَلَّهُمۡ يَتَّقُونَ ﴾
[الزُّمَر: 28]
﴿قرآنا عربيا غير ذي عوج لعلهم يتقون﴾ [الزُّمَر: 28]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na tumeijaalia hii Qur’ani ni kwa lugha ya Kiarabu, yenye matamshi yaliyofunuka wazi na yenye maana mepesi yasiyo na uchanganyifu wala upotofu, huenda wao wakamcha Mwenyezi Mungu kwa kufuata amri Zake na kuepuka makatazo yake |