Quran with Swahili translation - Surah Az-Zumar ayat 34 - الزُّمَر - Page - Juz 24
﴿لَهُم مَّا يَشَآءُونَ عِندَ رَبِّهِمۡۚ ذَٰلِكَ جَزَآءُ ٱلۡمُحۡسِنِينَ ﴾
[الزُّمَر: 34]
﴿لهم ما يشاءون عند ربهم ذلك جزاء المحسنين﴾ [الزُّمَر: 34]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wao watayapata wanayoyataka kwa Mola wao miongoni mwa aina ya vitu vya ladha na matamanio. Hayo ndiyo malipo ya anayemtii Mola wake vile inavyopasa kutiiwa na akamuabudu vile inavyopasa kuabudiwa |