Quran with Swahili translation - Surah An-Nisa’ ayat 99 - النِّسَاء - Page - Juz 5
﴿فَأُوْلَٰٓئِكَ عَسَى ٱللَّهُ أَن يَعۡفُوَ عَنۡهُمۡۚ وَكَانَ ٱللَّهُ عَفُوًّا غَفُورٗا ﴾
[النِّسَاء: 99]
﴿فأولئك عسى الله أن يعفو عنهم وكان الله عفوا غفورا﴾ [النِّسَاء: 99]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wanyonge hawa ndio wanaotarajiwa kupata msamaha kutoka kwa Mwenyezi Mungu Aliyetukuka, kwa kuwa Yeye Anaujua uhakika wa mambo yao. Na Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa msamaha, Anawasamehe makosa yao na Anawafinikia na kuwasitiria |