Quran with Swahili translation - Surah Ghafir ayat 30 - غَافِر - Page - Juz 24
﴿وَقَالَ ٱلَّذِيٓ ءَامَنَ يَٰقَوۡمِ إِنِّيٓ أَخَافُ عَلَيۡكُم مِّثۡلَ يَوۡمِ ٱلۡأَحۡزَابِ ﴾
[غَافِر: 30]
﴿وقال الذي آمن ياقوم إني أخاف عليكم مثل يوم الأحزاب﴾ [غَافِر: 30]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na akasema yule Aliyeamini katika jamaa za Fir’awn kumwambia Fir’awn na viongozi wa mamlaka yake kwa kuwapa ushauri na kuwaonya, «Mimi ninawaogopea mkimuua Mūsā mfano wa siku ya makundi yaliyojikusanya dhidi ya manabii wao |