Quran with Swahili translation - Surah Ghafir ayat 36 - غَافِر - Page - Juz 24
﴿وَقَالَ فِرۡعَوۡنُ يَٰهَٰمَٰنُ ٱبۡنِ لِي صَرۡحٗا لَّعَلِّيٓ أَبۡلُغُ ٱلۡأَسۡبَٰبَ ﴾
[غَافِر: 36]
﴿وقال فرعون ياهامان ابن لي صرحا لعلي أبلغ الأسباب﴾ [غَافِر: 36]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Fir’awn akasema akimkanusha Mūsā katika ule mwito wake wa kumkubali Mola wa viumbe wote na kujisalimisha Kwake, «Ewe Hāmān! Nijengee jengo kubwa. Huenda mimi nikafikia milango ya mbingu au nikakifikia kile chenye kunifikisha hapo |