Quran with Swahili translation - Surah Ghafir ayat 41 - غَافِر - Page - Juz 24
﴿۞ وَيَٰقَوۡمِ مَا لِيٓ أَدۡعُوكُمۡ إِلَى ٱلنَّجَوٰةِ وَتَدۡعُونَنِيٓ إِلَى ٱلنَّارِ ﴾
[غَافِر: 41]
﴿وياقوم ما لي أدعوكم إلى النجاة وتدعونني إلى النار﴾ [غَافِر: 41]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Na enyi watu wangu! Vipi mimi ninawalingania kumuamini Mwenyezi Mungu na kumfuata Mtume Wake Mūsā, nao ni ulinganizi utakaowafanya nyinyi muishie Peponi na muwe mbali na vituko vya Moto, na nyinyi mnanilingania kufany matendo yenye kupelekea kwenye adhabu ya Mwenyezi Mungu na mateso Yake Motoni |