×

Watasema walio jitukuza: Hakika sote sisi tumo humo humo! Kwani Mwenyezi Mungu 40:48 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ghafir ⮕ (40:48) ayat 48 in Swahili

40:48 Surah Ghafir ayat 48 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ghafir ayat 48 - غَافِر - Page - Juz 24

﴿قَالَ ٱلَّذِينَ ٱسۡتَكۡبَرُوٓاْ إِنَّا كُلّٞ فِيهَآ إِنَّ ٱللَّهَ قَدۡ حَكَمَ بَيۡنَ ٱلۡعِبَادِ ﴾
[غَافِر: 48]

Watasema walio jitukuza: Hakika sote sisi tumo humo humo! Kwani Mwenyezi Mungu kesha hukumu baina ya waja

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قال الذين استكبروا إنا كل فيها إن الله قد حكم بين العباد, باللغة السواحيلية

﴿قال الذين استكبروا إنا كل فيها إن الله قد حكم بين العباد﴾ [غَافِر: 48]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Viongozi waliokuwa na kiburi watasema, wakieleza ulemevu wao, «Hatutawabebea kitu chochote cha adhabu ya Moto, na hali sisi sote tumo ndani yake, hatuna namna ya kuokoka nao, Mwenyezi Mungu Amegawanya adhabu baina yetu kwa uamuzi Wake wa haki, kila mmoja wetu kwa kadiri anayostahiki.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek