Quran with Swahili translation - Surah Ghafir ayat 49 - غَافِر - Page - Juz 24
﴿وَقَالَ ٱلَّذِينَ فِي ٱلنَّارِ لِخَزَنَةِ جَهَنَّمَ ٱدۡعُواْ رَبَّكُمۡ يُخَفِّفۡ عَنَّا يَوۡمٗا مِّنَ ٱلۡعَذَابِ ﴾
[غَافِر: 49]
﴿وقال الذين في النار لخزنة جهنم ادعوا ربكم يخفف عنا يوما من﴾ [غَافِر: 49]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na watasema wale waliyomo Motoni miongoni mwa watu wakubwa wenye kiburi na wanyonge wakiwaambia walinzi wa Jahanamu, «Muombeni Mola wenu atusahilishie adhabu kwa siku moja ili tupate kiasi fulani cha mapumziko.» |