×

Na wakawapotea wale walio kuwa wakiwaomba hapo kwanza, na wakawa na yakini 41:48 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Fussilat ⮕ (41:48) ayat 48 in Swahili

41:48 Surah Fussilat ayat 48 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Fussilat ayat 48 - فُصِّلَت - Page - Juz 25

﴿وَضَلَّ عَنۡهُم مَّا كَانُواْ يَدۡعُونَ مِن قَبۡلُۖ وَظَنُّواْ مَا لَهُم مِّن مَّحِيصٖ ﴾
[فُصِّلَت: 48]

Na wakawapotea wale walio kuwa wakiwaomba hapo kwanza, na wakawa na yakini kuwa hawana pa kukimbilia

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وضل عنهم ما كانوا يدعون من قبل وظنوا ما لهم من محيص, باللغة السواحيلية

﴿وضل عنهم ما كانوا يدعون من قبل وظنوا ما لهم من محيص﴾ [فُصِّلَت: 48]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Wakawapotea hao washirikina wale washirika wao ambao walikuwa wakiwaabudu badala ya Mwenyezi Mungu, wasiwanufaishe na wakajuwa kwa yakini kuwa hakuna makimbilio yoyote ya kuwaepusha wao na adhabu ya Mwenyezi Mungu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek