×

Mwanaadamu hachoki kuomba dua za kheri, na inapo mpata shari, mara huvunjika 41:49 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Fussilat ⮕ (41:49) ayat 49 in Swahili

41:49 Surah Fussilat ayat 49 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Fussilat ayat 49 - فُصِّلَت - Page - Juz 25

﴿لَّا يَسۡـَٔمُ ٱلۡإِنسَٰنُ مِن دُعَآءِ ٱلۡخَيۡرِ وَإِن مَّسَّهُ ٱلشَّرُّ فَيَـُٔوسٞ قَنُوطٞ ﴾
[فُصِّلَت: 49]

Mwanaadamu hachoki kuomba dua za kheri, na inapo mpata shari, mara huvunjika moyo akakata tamaa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: لا يسأم الإنسان من دعاء الخير وإن مسه الشر فيئوس قنوط, باللغة السواحيلية

﴿لا يسأم الإنسان من دعاء الخير وإن مسه الشر فيئوس قنوط﴾ [فُصِّلَت: 49]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Binadamu hachoki kumuomba Mola wake Ampatie mema ya duniani, na akipatikana na umasikini na shida, huwa anakata tamaa na rehema ya Mwenyezi Mungu na anakufa moyo kwa kuwa na dhana mbaya kwa Mola wake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek