Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 30 - الزُّخرُف - Page - Juz 25
﴿وَلَمَّا جَآءَهُمُ ٱلۡحَقُّ قَالُواْ هَٰذَا سِحۡرٞ وَإِنَّا بِهِۦ كَٰفِرُونَ ﴾
[الزُّخرُف: 30]
﴿ولما جاءهم الحق قالوا هذا سحر وإنا به كافرون﴾ [الزُّخرُف: 30]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na ilipowajia Qur’ani kutoka kwa Mwenyezi Mungu walisema, «Hii uliyotuletea ni uchawi wa kuturogea nao, na si wahyi unaotoka kwa Mwenyezi Mungu, na sisi tunaukanusha.” |