Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 31 - الزُّخرُف - Page - Juz 25
﴿وَقَالُواْ لَوۡلَا نُزِّلَ هَٰذَا ٱلۡقُرۡءَانُ عَلَىٰ رَجُلٖ مِّنَ ٱلۡقَرۡيَتَيۡنِ عَظِيمٍ ﴾
[الزُّخرُف: 31]
﴿وقالوا لولا نـزل هذا القرآن على رجل من القريتين عظيم﴾ [الزُّخرُف: 31]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hawa washirikina wa Kikureshi walisema, «Iwapo hii Qur’ani inatoka kwa Mwenyezi Mungu kikweli, basi si ateremshiwe mtu mkuu kutoka miji hii miwili: Makkah au Ṭāif |