×

Na hakika wao wanawazuilia Njia na wenyewe wanadhani kuwa wameongoka 43:37 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Az-Zukhruf ⮕ (43:37) ayat 37 in Swahili

43:37 Surah Az-Zukhruf ayat 37 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 37 - الزُّخرُف - Page - Juz 25

﴿وَإِنَّهُمۡ لَيَصُدُّونَهُمۡ عَنِ ٱلسَّبِيلِ وَيَحۡسَبُونَ أَنَّهُم مُّهۡتَدُونَ ﴾
[الزُّخرُف: 37]

Na hakika wao wanawazuilia Njia na wenyewe wanadhani kuwa wameongoka

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وإنهم ليصدونهم عن السبيل ويحسبون أنهم مهتدون, باللغة السواحيلية

﴿وإنهم ليصدونهم عن السبيل ويحسبون أنهم مهتدون﴾ [الزُّخرُف: 37]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na kwa hakika, Mashetani wanawazuia hawa wanaoupa mgongo utajo wa Mwenyezi Mungu wasifuate njia ya haki, wanawapambia upotevu na wanawafanya wachukie Kumuamini Mwenyezi Mungu na kufanya matendo ya utiifu Kwake. Na wanadhani hawa wenye kupa mgongo, kutokana na vile Mashetani wanavyowapambia upotevu walionao, wanadhani kuwa wao wako kwenye haki na uongofu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek