Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 43 - الزُّخرُف - Page - Juz 25
﴿فَٱسۡتَمۡسِكۡ بِٱلَّذِيٓ أُوحِيَ إِلَيۡكَۖ إِنَّكَ عَلَىٰ صِرَٰطٖ مُّسۡتَقِيمٖ ﴾
[الزُّخرُف: 43]
﴿فاستمسك بالذي أوحي إليك إنك على صراط مستقيم﴾ [الزُّخرُف: 43]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi shikamana, ewe Mtume, na kile alichokuamrisha Mwenyezi Mungu katika hii Qur’ani ambayo Mwenyezi Mungu amekuletea, kwa njia ya wahyi. Hakika wewe uko kwenye njia iliyonyoka, nayo ni Dini ya Mwenyezi Mungu aliyoamrisha ifuatwe ambayo ni Uislamu. Hapa pana kumpa moyo Mtume, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, na kumsifu |