Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 53 - الزُّخرُف - Page - Juz 25
﴿فَلَوۡلَآ أُلۡقِيَ عَلَيۡهِ أَسۡوِرَةٞ مِّن ذَهَبٍ أَوۡ جَآءَ مَعَهُ ٱلۡمَلَٰٓئِكَةُ مُقۡتَرِنِينَ ﴾
[الزُّخرُف: 53]
﴿فلولا ألقي عليه أسورة من ذهب أو جاء معه الملائكة مقترنين﴾ [الزُّخرُف: 53]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Basi si apewe huyo Mūsā, iwapo ni mkweli kuwa yeye ni Mjumbe wa Mola wa viumbe wote, vikuku vya dhahabu, au waje Malaika pamoja na yeye wameshikana na kukutana na wakafuatana wakimtolea ushahidi kuwa yeye ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwetu sisi.» |