Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 54 - الزُّخرُف - Page - Juz 25
﴿فَٱسۡتَخَفَّ قَوۡمَهُۥ فَأَطَاعُوهُۚ إِنَّهُمۡ كَانُواْ قَوۡمٗا فَٰسِقِينَ ﴾
[الزُّخرُف: 54]
﴿فاستخف قومه فأطاعوه إنهم كانوا قوما فاسقين﴾ [الزُّخرُف: 54]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Fir’awn akazichezea akili za watu wake, akawaita kwenye upotevu na wao wakamtii na wakamkanusha Mūsā. Kwa hakika, wao walikuwa ni watu waliotoka kwenye utiifu wa Mwenyezi Mugu na njia yake ya sawa |