×

Wakasema: Miungu yetu kwani si bora kuliko huyu? Hawakukupigia mfano huo ila 43:58 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Az-Zukhruf ⮕ (43:58) ayat 58 in Swahili

43:58 Surah Az-Zukhruf ayat 58 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 58 - الزُّخرُف - Page - Juz 25

﴿وَقَالُوٓاْ ءَأَٰلِهَتُنَا خَيۡرٌ أَمۡ هُوَۚ مَا ضَرَبُوهُ لَكَ إِلَّا جَدَلَۢاۚ بَلۡ هُمۡ قَوۡمٌ خَصِمُونَ ﴾
[الزُّخرُف: 58]

Wakasema: Miungu yetu kwani si bora kuliko huyu? Hawakukupigia mfano huo ila kwa ubishi tu. Bali hao ni watu wagomvi

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وقالوا أآلهتنا خير أم هو ما ضربوه لك إلا جدلا بل هم, باللغة السواحيلية

﴿وقالوا أآلهتنا خير أم هو ما ضربوه لك إلا جدلا بل هم﴾ [الزُّخرُف: 58]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na walisema washirikina wa watu wako, ewe Mtume, ” Je waungu wetu tunaowaabudu ni bora au ni Īsā ambaye watu wake wanamuabudu? Akiwa Īsā atakuwa Motoni, basi nasi natuwe na waungu wetu pamoja na yeye. Hawakukupigia mfano huu isipokuwa kwa kujadili, bali wao ni wabishi kwa njia ya ubatilifu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek