×

Na kwa hakika yeye ni alama ya Saa ya Kiyama. Basi usiitilie 43:61 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Az-Zukhruf ⮕ (43:61) ayat 61 in Swahili

43:61 Surah Az-Zukhruf ayat 61 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 61 - الزُّخرُف - Page - Juz 25

﴿وَإِنَّهُۥ لَعِلۡمٞ لِّلسَّاعَةِ فَلَا تَمۡتَرُنَّ بِهَا وَٱتَّبِعُونِۚ هَٰذَا صِرَٰطٞ مُّسۡتَقِيمٞ ﴾
[الزُّخرُف: 61]

Na kwa hakika yeye ni alama ya Saa ya Kiyama. Basi usiitilie shaka, na nifuateni. Hii ndiyo Njia Iliyo Nyooka

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وإنه لعلم للساعة فلا تمترن بها واتبعون هذا صراط مستقيم, باللغة السواحيلية

﴿وإنه لعلم للساعة فلا تمترن بها واتبعون هذا صراط مستقيم﴾ [الزُّخرُف: 61]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Kwa hakika kuteremka kwa Īsā, amani imshukie, kabla ya Siku ya Kiyama, ni dalili ya kukaribia Wakati huo, basi msitie shaka kuwa hilo ni lenye kuwa hapana budi. Na nifuateni mimi katika yale ninayowatolea habari kutoka kwa Mwenyezi Mungu Aliyetukuka. Hii ni njia imara inayoelekea Peponi, isiyo na mpeto
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek