Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 62 - الزُّخرُف - Page - Juz 25
﴿وَلَا يَصُدَّنَّكُمُ ٱلشَّيۡطَٰنُۖ إِنَّهُۥ لَكُمۡ عَدُوّٞ مُّبِينٞ ﴾
[الزُّخرُف: 62]
﴿ولا يصدنكم الشيطان إنه لكم عدو مبين﴾ [الزُّخرُف: 62]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na asiwazuie Shetani, kwa kutia kwake wasiwasi kwa watu, kunitii mimi katika yale ninayowaamrisha na ninayowakataza, kwani yeye ni adui kwenu ambaye uadui wake uko waziwazi |