Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 72 - الزُّخرُف - Page - Juz 25
﴿وَتِلۡكَ ٱلۡجَنَّةُ ٱلَّتِيٓ أُورِثۡتُمُوهَا بِمَا كُنتُمۡ تَعۡمَلُونَ ﴾
[الزُّخرُف: 72]
﴿وتلك الجنة التي أورثتموها بما كنتم تعملون﴾ [الزُّخرُف: 72]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hii Pepo ambayo Mwenyezi Mungu Amewarithisha, ni kwa sababu ya kile mlichokuwa mkikifanya ulimwenguni cha mambo ya kheri na matendo mema, na akaifanya, kwa wema Wake na rehema Yake, ni malipo yenu |