Quran with Swahili translation - Surah Ad-Dukhan ayat 12 - الدُّخان - Page - Juz 25
﴿رَّبَّنَا ٱكۡشِفۡ عَنَّا ٱلۡعَذَابَ إِنَّا مُؤۡمِنُونَ ﴾
[الدُّخان: 12]
﴿ربنا اكشف عنا العذاب إنا مؤمنون﴾ [الدُّخان: 12]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kisha waseme wakiomba iondolewe na iepushwe na wao, «Mola wetu! Tuepushie adhabu, kwani ukituepushia sisi ni wenye kukuamini.” (Na hilo lilifanyika na wasiamini kama walivyoahidi) |