Quran with Swahili translation - Surah Ad-Dukhan ayat 13 - الدُّخان - Page - Juz 25
﴿أَنَّىٰ لَهُمُ ٱلذِّكۡرَىٰ وَقَدۡ جَآءَهُمۡ رَسُولٞ مُّبِينٞ ﴾
[الدُّخان: 13]
﴿أنى لهم الذكرى وقد جاءهم رسول مبين﴾ [الدُّخان: 13]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Vipi watakuwa ni wenye kukumbuka na kuwaidhika baada ya kuteremkiwa na adhabu, na hali wamejiwa na Mtume mwenye kufafanua, naye ni Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie |