Quran with Swahili translation - Surah Ad-Dukhan ayat 14 - الدُّخان - Page - Juz 25
﴿ثُمَّ تَوَلَّوۡاْ عَنۡهُ وَقَالُواْ مُعَلَّمٞ مَّجۡنُونٌ ﴾
[الدُّخان: 14]
﴿ثم تولوا عنه وقالوا معلم مجنون﴾ [الدُّخان: 14]
Abdullah Muhammad Abu Bakr kisha wakaenda kinyume na yeye na wakasema kwamba alifundishwa na binadamu au makuhani au mashetani na kwamba yeye ni mwendawazimu na si Mtume |