Quran with Swahili translation - Surah Ad-Dukhan ayat 42 - الدُّخان - Page - Juz 25
﴿إِلَّا مَن رَّحِمَ ٱللَّهُۚ إِنَّهُۥ هُوَ ٱلۡعَزِيزُ ٱلرَّحِيمُ ﴾
[الدُّخان: 42]
﴿إلا من رحم الله إنه هو العزيز الرحيم﴾ [الدُّخان: 42]
Abdullah Muhammad Abu Bakr isipokuwa yule ambaye Mwenyezi Mungu Amemrehemu miongoni mwa Waumini, kwani yeye huenda akamuombea kwa Mola wake baada ya kuruhusiwa na Mwenyezi Mungu. Kwa hakika Mwenyezi Mungu Ndiye Mshindi katika kuwatesa maadui zake, Ndiye Mwenye kuwarehemu kwa wingi wale wenye kumtegemea na kumtii |