×

Waambie walio amini wawasamehe wale wasio zitaraji siku za Mwenyezi Mungu, ili 45:14 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Jathiyah ⮕ (45:14) ayat 14 in Swahili

45:14 Surah Al-Jathiyah ayat 14 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Jathiyah ayat 14 - الجاثِية - Page - Juz 25

﴿قُل لِّلَّذِينَ ءَامَنُواْ يَغۡفِرُواْ لِلَّذِينَ لَا يَرۡجُونَ أَيَّامَ ٱللَّهِ لِيَجۡزِيَ قَوۡمَۢا بِمَا كَانُواْ يَكۡسِبُونَ ﴾
[الجاثِية: 14]

Waambie walio amini wawasamehe wale wasio zitaraji siku za Mwenyezi Mungu, ili awalipe kwa waliyo kuwa wakiyachuma

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قل للذين آمنوا يغفروا للذين لا يرجون أيام الله ليجزي قوما بما, باللغة السواحيلية

﴿قل للذين آمنوا يغفروا للذين لا يرجون أيام الله ليجزي قوما بما﴾ [الجاثِية: 14]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Sema, ewe Mtume, uwaambie wenye kumuamini Mwenyezi Mungu na wakamfuata Mtume Wake, wawasamehe na kuwaachilia wale ambao hawana matarajio ya malipo mema ya Mwenyezi Mungu na hawaogopi adhabu Yake wanapowakusudia Waumini kuwaudhi na kuwakera, ili Mwenyezi Mungu Awalipe washirikina hawa kwa yale waliyoyachuma duniani ya madhambi na kuwaudhi Waumini
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek