×

Mwenye kutenda mema basi ni kwa ajili ya nafsi yake, na mwenye 45:15 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Jathiyah ⮕ (45:15) ayat 15 in Swahili

45:15 Surah Al-Jathiyah ayat 15 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Jathiyah ayat 15 - الجاثِية - Page - Juz 25

﴿مَنۡ عَمِلَ صَٰلِحٗا فَلِنَفۡسِهِۦۖ وَمَنۡ أَسَآءَ فَعَلَيۡهَاۖ ثُمَّ إِلَىٰ رَبِّكُمۡ تُرۡجَعُونَ ﴾
[الجاثِية: 15]

Mwenye kutenda mema basi ni kwa ajili ya nafsi yake, na mwenye kutenda uovu ni juu yake mwenyewe. Kisha mtarudishwa kwa Mola wenu Mlezi

❮ Previous Next ❯

ترجمة: من عمل صالحا فلنفسه ومن أساء فعليها ثم إلى ربكم ترجعون, باللغة السواحيلية

﴿من عمل صالحا فلنفسه ومن أساء فعليها ثم إلى ربكم ترجعون﴾ [الجاثِية: 15]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Yoyote yule, miongoni mwa waja wa Mwenyezi Mungu, Anayefanya matendo ya utiifu Kwake, basi malipo mema ya utiifu wake atayapata mwenyewe, na mwenye kufanya matendo mabaya duniani kwa kumuasi Mwenyezi Mungu, basi atakuwa amejikosea mwenyewe. Kisha nyinyi, enyi watu, mtaishia kwa Mola wenu baada ya kufa kwenu, Amlipe mwema kwa wema wake na mbaya kwa ubaya wake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek