×

Na nani mpotofu mkubwa kuliko hao wanao waomba, badala ya Mwenyezi Mungu, 46:5 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Ahqaf ⮕ (46:5) ayat 5 in Swahili

46:5 Surah Al-Ahqaf ayat 5 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Ahqaf ayat 5 - الأحقَاف - Page - Juz 26

﴿وَمَنۡ أَضَلُّ مِمَّن يَدۡعُواْ مِن دُونِ ٱللَّهِ مَن لَّا يَسۡتَجِيبُ لَهُۥٓ إِلَىٰ يَوۡمِ ٱلۡقِيَٰمَةِ وَهُمۡ عَن دُعَآئِهِمۡ غَٰفِلُونَ ﴾
[الأحقَاف: 5]

Na nani mpotofu mkubwa kuliko hao wanao waomba, badala ya Mwenyezi Mungu, ambao hawatawaitikia mpaka Siku ya Kiyama, na wala hawatambui maombi yao

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ومن أضل ممن يدعو من دون الله من لا يستجيب له إلى, باللغة السواحيلية

﴿ومن أضل ممن يدعو من دون الله من لا يستجيب له إلى﴾ [الأحقَاف: 5]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hakuna aliyepotea zaidi wala aliye mjinga zaidi kuliko yule anayewaomba waungu wengine badala ya Mwenyezi Mungu, wasioitikia maombi yake kabisa mpaka Siku ya Kiyama, kwa kuwa waungu hao ni wafu au mawe au miti na mfano wa hivyo, na hali hivyo havina habari ya maombi ya huyo mwenye kuviabudu, havina uwezo wa kumnufaisha au kumdhuru
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek