Quran with Swahili translation - Surah Muhammad ayat 25 - مُحمد - Page - Juz 26
﴿إِنَّ ٱلَّذِينَ ٱرۡتَدُّواْ عَلَىٰٓ أَدۡبَٰرِهِم مِّنۢ بَعۡدِ مَا تَبَيَّنَ لَهُمُ ٱلۡهُدَى ٱلشَّيۡطَٰنُ سَوَّلَ لَهُمۡ وَأَمۡلَىٰ لَهُمۡ ﴾
[مُحمد: 25]
﴿إن الذين ارتدوا على أدبارهم من بعد ما تبين لهم الهدى الشيطان﴾ [مُحمد: 25]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika ya wale waliyorudi nyuma wakaacha uongofu na Imani na wakageuka kwa visigino vyao wakimkanusha Mwenyezi Mungu baada ya haki kuwafunukia, (hao) Shetani amewapambia makosa yao na akawanyoshea matumaini ya kuishi duniani |