Quran with Swahili translation - Surah Muhammad ayat 29 - مُحمد - Page - Juz 26
﴿أَمۡ حَسِبَ ٱلَّذِينَ فِي قُلُوبِهِم مَّرَضٌ أَن لَّن يُخۡرِجَ ٱللَّهُ أَضۡغَٰنَهُمۡ ﴾
[مُحمد: 29]
﴿أم حسب الذين في قلوبهم مرض أن لن يخرج الله أضغانهم﴾ [مُحمد: 29]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Au kwani wanadhani hao wanafiki kuwa Mwenyezi Mungu Hatovitoa vile vilivyomo ndani ya nyoyo zao vya uhasidi na kuuchukia Uislamu na wafuasi wake? Ndio, Mwenyezi Mungu Atamtenganisha mkweli kutokana na mrongo |