×

Watakuambia mabedui walio baki nyuma: Yametushughulisha mali yetu na ahali zetu, basi 48:11 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Fath ⮕ (48:11) ayat 11 in Swahili

48:11 Surah Al-Fath ayat 11 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Fath ayat 11 - الفَتح - Page - Juz 26

﴿سَيَقُولُ لَكَ ٱلۡمُخَلَّفُونَ مِنَ ٱلۡأَعۡرَابِ شَغَلَتۡنَآ أَمۡوَٰلُنَا وَأَهۡلُونَا فَٱسۡتَغۡفِرۡ لَنَاۚ يَقُولُونَ بِأَلۡسِنَتِهِم مَّا لَيۡسَ فِي قُلُوبِهِمۡۚ قُلۡ فَمَن يَمۡلِكُ لَكُم مِّنَ ٱللَّهِ شَيۡـًٔا إِنۡ أَرَادَ بِكُمۡ ضَرًّا أَوۡ أَرَادَ بِكُمۡ نَفۡعَۢاۚ بَلۡ كَانَ ٱللَّهُ بِمَا تَعۡمَلُونَ خَبِيرَۢا ﴾
[الفَتح: 11]

Watakuambia mabedui walio baki nyuma: Yametushughulisha mali yetu na ahali zetu, basi tuombee msamaha. Wanasema kwa ndimi zao yasiyo kuwamo katika nyoyo zao. Sema: Ni nani awezaye kukusaidieni chochote kwa Mwenyezi Mungu akitaka Yeye kukudhuruni au akitaka kukunufaisheni? Bali Mwenyezi Mungu anazo khabari za mnayo yatenda

❮ Previous Next ❯

ترجمة: سيقول لك المخلفون من الأعراب شغلتنا أموالنا وأهلونا فاستغفر لنا يقولون بألسنتهم, باللغة السواحيلية

﴿سيقول لك المخلفون من الأعراب شغلتنا أموالنا وأهلونا فاستغفر لنا يقولون بألسنتهم﴾ [الفَتح: 11]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Watakwambia, ewe Nabii, wale mabedui waliojikalisha nyuma wasitoke na wewe kwenda Makkah utakapowalaumu, «Tulishughulishwa na mali yetu na watu wa nyumbani kwetu, basi tuombee Mola Wako Atusamehe kosa letu la kujikalisha nyuma.» Wanasema hayo kwa ndimi zoa na hayana ukweli wowote maneno yao ndani ya nyoyo zao. Waambie, «Ni nani atakayemiliki kuwafanyia chochote kwa Mwenyezi Mungu iwapo Amewatakia nyinyi kheri au shari?» mambo sivyo kama vile hawa wanafiki wanavyodhania kuwa Mwenyezi Mungu hayajui yale ya unafiki yaliyomo ndani yao. Bali kwa hakika, Yeye Mwenyezi Mungu ni Mtambuzi wa mnayoyafanya, hakuna chochote kinachofichamana Kwake katika matendo ya viumbe Vyake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek