Quran with Swahili translation - Surah Al-Ma’idah ayat 30 - المَائدة - Page - Juz 6
﴿فَطَوَّعَتۡ لَهُۥ نَفۡسُهُۥ قَتۡلَ أَخِيهِ فَقَتَلَهُۥ فَأَصۡبَحَ مِنَ ٱلۡخَٰسِرِينَ ﴾
[المَائدة: 30]
﴿فطوعت له نفسه قتل أخيه فقتله فأصبح من الخاسرين﴾ [المَائدة: 30]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi ilimpambia Qābīl nafsi yake amuue ndugu yake, akamuua na akawa ni kati ya waliopata hasara, ambao waliuza Akhera yao kwa dunia yao |