Quran with Swahili translation - Surah Al-Ma’idah ayat 34 - المَائدة - Page - Juz 6
﴿إِلَّا ٱلَّذِينَ تَابُواْ مِن قَبۡلِ أَن تَقۡدِرُواْ عَلَيۡهِمۡۖ فَٱعۡلَمُوٓاْ أَنَّ ٱللَّهَ غَفُورٞ رَّحِيمٞ ﴾
[المَائدة: 34]
﴿إلا الذين تابوا من قبل أن تقدروا عليهم فاعلموا أن الله غفور﴾ [المَائدة: 34]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Lakini atakayekuja kati ya wale wanaopiga vita kabla hamjawatia mkononi na akaja akiwa mtiifu mwenye majuto, atafutiwa yale yaliyokuwa ni haki ya Mwenyezi Mungu. Na jueni, enyi Waumini, kwamba Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa msamaha kwa waja Wake, ni Mwenye kuwarehemu |