×

Na utawaona wengi katika wao wanakimbilia kwenye dhambi, na uadui, na ulaji 5:62 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Ma’idah ⮕ (5:62) ayat 62 in Swahili

5:62 Surah Al-Ma’idah ayat 62 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Ma’idah ayat 62 - المَائدة - Page - Juz 6

﴿وَتَرَىٰ كَثِيرٗا مِّنۡهُمۡ يُسَٰرِعُونَ فِي ٱلۡإِثۡمِ وَٱلۡعُدۡوَٰنِ وَأَكۡلِهِمُ ٱلسُّحۡتَۚ لَبِئۡسَ مَا كَانُواْ يَعۡمَلُونَ ﴾
[المَائدة: 62]

Na utawaona wengi katika wao wanakimbilia kwenye dhambi, na uadui, na ulaji wao vya haramu. Ni maovu mno hayo wayatendayo

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وترى كثيرا منهم يسارعون في الإثم والعدوان وأكلهم السحت لبئس ما كانوا, باللغة السواحيلية

﴿وترى كثيرا منهم يسارعون في الإثم والعدوان وأكلهم السحت لبئس ما كانوا﴾ [المَائدة: 62]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na utawaona, ewe Mtume, wengi miongoni mwa Mayahudi wanayakimbilia maasia ya kusema urongo, uzushi, kuzifanyia uadui hukumu za Mwenyezi Mungu na kula mali ya watu kinyume na haki. Ni maovu mno matendo yao na uadui wao
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek