Quran with Swahili translation - Surah Al-Ma’idah ayat 65 - المَائدة - Page - Juz 6
﴿وَلَوۡ أَنَّ أَهۡلَ ٱلۡكِتَٰبِ ءَامَنُواْ وَٱتَّقَوۡاْ لَكَفَّرۡنَا عَنۡهُمۡ سَيِّـَٔاتِهِمۡ وَلَأَدۡخَلۡنَٰهُمۡ جَنَّٰتِ ٱلنَّعِيمِ ﴾
[المَائدة: 65]
﴿ولو أن أهل الكتاب آمنوا واتقوا لكفرنا عنهم سيئاتهم ولأدخلناهم جنات النعيم﴾ [المَائدة: 65]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Lau kama Mayahudi na Wanaswara wangalimuamini Mwenyezi Mungu na Mtume Wake, wakazifuata amri Zake na kuyaepuka makatazo Yake, tungaliwafutia madhambi yao na tungaliwatia kwenye mabustani ya Pepo ya starehe katika Nyumba ya Akhera |