Quran with Swahili translation - Surah Qaf ayat 20 - قٓ - Page - Juz 26
﴿وَنُفِخَ فِي ٱلصُّورِۚ ذَٰلِكَ يَوۡمُ ٱلۡوَعِيدِ ﴾
[قٓ: 20]
﴿ونفخ في الصور ذلك يوم الوعيد﴾ [قٓ: 20]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hapo baragumu likavuviwa mvuvio wa pili wa Ufufuzi. Mvuvio huo utakuwa kwenye Siku ya matekelezo ya adhabu ambayo Mwenyezi Mungu Aliwaahidi wakanushaji |