Quran with Swahili translation - Surah Qaf ayat 19 - قٓ - Page - Juz 26
﴿وَجَآءَتۡ سَكۡرَةُ ٱلۡمَوۡتِ بِٱلۡحَقِّۖ ذَٰلِكَ مَا كُنتَ مِنۡهُ تَحِيدُ ﴾
[قٓ: 19]
﴿وجاءت سكرة الموت بالحق ذلك ما كنت منه تحيد﴾ [قٓ: 19]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hapo ikaja shida ya mauti na kizaazaa chake na ukweli usiozuilika wala kukimbilika! Hali hiyo ndiyo ambayo ulikuwa, ewe binadamu, ukiikimbia na kuihepa |