Quran with Swahili translation - Surah Qaf ayat 21 - قٓ - Page - Juz 26
﴿وَجَآءَتۡ كُلُّ نَفۡسٖ مَّعَهَا سَآئِقٞ وَشَهِيدٞ ﴾
[قٓ: 21]
﴿وجاءت كل نفس معها سائق وشهيد﴾ [قٓ: 21]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na ije kila nafsi, wakiwa pamoja nayo Malaika wawili: mmoja anaiongoza kwenye Mkusanyiko, na mwingine Anaitolea ushahidi wa ililolifanya duniani, la kheri na shari |