Quran with Swahili translation - Surah Qaf ayat 23 - قٓ - Page - Juz 26
﴿وَقَالَ قَرِينُهُۥ هَٰذَا مَا لَدَيَّ عَتِيدٌ ﴾
[قٓ: 23]
﴿وقال قرينه هذا ما لدي عتيد﴾ [قٓ: 23]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Malaika mwandishi mwenye kumtolea ushahidi atasema, «Haya ndiyo niliyonayo kutoka kwenye rikodi ya matendo yake. Nayo imetayarishwa, imehifadhiwa na ipo hapa kwangu.» |