Quran with Swahili translation - Surah Qaf ayat 27 - قٓ - Page - Juz 26
﴿۞ قَالَ قَرِينُهُۥ رَبَّنَا مَآ أَطۡغَيۡتُهُۥ وَلَٰكِن كَانَ فِي ضَلَٰلِۭ بَعِيدٖ ﴾
[قٓ: 27]
﴿قال قرينه ربنا ما أطغيته ولكن كان في ضلال بعيد﴾ [قٓ: 27]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Shetani wake aliyekuwa na yeye ulimwenguni atasema, «Mola wetu! Mimi sikumpoteza, lakini alikuwa kwenye njia iliyokuwa mbali na njia ya uongofu.» |