Quran with Swahili translation - Surah Qaf ayat 28 - قٓ - Page - Juz 26
﴿قَالَ لَا تَخۡتَصِمُواْ لَدَيَّ وَقَدۡ قَدَّمۡتُ إِلَيۡكُم بِٱلۡوَعِيدِ ﴾
[قٓ: 28]
﴿قال لا تختصموا لدي وقد قدمت إليكم بالوعيد﴾ [قٓ: 28]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, Aseme, «Msitete mbele yangu leo kwenye Kisimamo cha Malipo na Hesabu. Kwani hilo halina faida, na mimi niliwaletea duniani onyo la adhabu kwa aliyenikufuru na kuniasi |