Quran with Swahili translation - Surah Qaf ayat 29 - قٓ - Page - Juz 26
﴿مَا يُبَدَّلُ ٱلۡقَوۡلُ لَدَيَّ وَمَآ أَنَا۠ بِظَلَّٰمٖ لِّلۡعَبِيدِ ﴾
[قٓ: 29]
﴿ما يبدل القول لدي وما أنا بظلام للعبيد﴾ [قٓ: 29]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Halibadilishwi neno kwangu, na simuadhibu yoyote kwa dhambi za mtu mwingine, simuadhibu yoyote isipokuwa kwa dhambi zake baada ya kusimamiwa na hoja.» |